Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,932
- 62,653
Mbona tuliandamana kudai ndege ubarozini kwao
Ubarozini~ Ubalozini
Utakuwa umetokea kanda ya ziwa wewe.
Confidence gani waliyonayo wakati wanashindwa kutetea mafuta yao yasiibiwe na mabeberu?Wanaija mimi nawkubali sana, TAIFA la watu CONFIDENT ambao wako proud.
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".Kama kuna taifa linajiamini Africa ni Wanajeria
Hawa watu kwanza wana umoja na solidarity ya kufa mtu
Siku zote katika nchi yeyeote, ukionea Mnigeria basi fahamu kwamba hawatokaa kimya, lazima watakutia kashkash mpaka siku nyingine itabidi ujifikirie mara mbili kumess nao
Kuna Mwaka mmoja kule Gwangzhou China Polisi wa Kichina aliua MTANZANIA, ni wale Watanzania ambao wamejilipua huko china, wanafanya kazi ya kuuza Kilo kwenye ndege, kutembeza wafanyabiashara wa kibongo madukani n.k
Wakati Watanzania walioko huko wakiogopa nakukimbia huku wakjificha kama digidigi, Wanaijeria wakanunua Msala in the name ya African Solidarity. Wanaume Wakaamua Kufunga barabara iliyobusy sana huko Gwangzhou. Polisi wakaja kujaribu kuwatimua wanaume wakakomaa, hakuna gari kwenda wala kurudi nyuma.
Hali hiyo ilisababisha adha kubwa sana kiasi kwamba wachina wakajifunza kuwa hakuna kumess up na Waanijeria kirahisirahisi
Wanaija Walifunga barabara wakasema mpaka waje viongozi wa Mji wa Gwanzhou waeleze kwa nini Mwafrika huyo kauawa na kwamba Serikali ya Mji huo haitoruhusu polisi kujichukulia sheria mkononi!
Hao ndo Wanaija
Cheki pia kilichotokea south Africa, Kitendo cha kuumiza Mnijeria tu na biashara zake, Wananchi wa Nijeria wamelianzisha huko Naija, Hii unaweza kusema siyo jambo muafaka kulipiza uovu kwa uovu, Lakini wakati mwingine inatuma meseji kwa Vongozi wa Africa ya kusini kuact.
Kinachoonekana ni kwamba viongozi wa Africa ya kusini hawana utashi wa kutumia nguvu za kutosha kukomesha hii hali ya wahuni wa Africa kusini kuvamia biashara za watu na kuzitia moto.
Ule ni uwendawazimu hata NYANI hana akili ndogo kama zile
Wanaija mimi nawkubali sana, TAIFA la watu CONFIDENT ambao wako proud.
AseeeKijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Aisee simchezoKijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Nakuelewaga sana, japo some tymz wanakubezaga na kukuita majina ya ajabu.Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Mti usio na matunda haupopolewi.Nakuelewaga sana, japo some tymz wanakubezaga na kukuita majina ya ajabu.
Bi Faiza acha tukutanie ila tuna kubali uwezo wako na kutambua uwepo wako.Mti usio na matunda haupopolewi.
Usijali.
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Mnakosea. "Old school slang" unayoijuwa ni "mapopo"."Wanaija" ni Slang inayotumika kitaa kumaanisha Wanaijeria
Labda kwa sababu ya utu uzima wako uko out of touch na lugha hizi
Kaulize mtu yeyote wa kisasa, akueleze watu wanaposema NAIJA wanarefer nchi gani?