NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Nimetembelea office Moja manispaa ya ilala kwenye ofice za elimu katika maongezi yetu ikatokea kutaja jina la makonda yule ofisa akaja huu nakuniakia kwanini nasema vmakonda badala. Mh mkuu mkoa makonda akataka hadi kunitia askari waliokuepo pale nikabaki na kamshangao kwa yule office nikamuliza kwani jina la mkuu wa mkoa anaitwa nani? Kweli nchi hii INA ma ofsa vilaza sana