Heshima kwa Paschal Mayalla

Anasubiri huruma ya Mkulu baada ya kurudi madarakani pengine anaweza kumpa Cheo...!

Ni sharti afunge Domo lake kwa wakati huu..
 
Mimi ni kijana wa miaka isiopungua 30 lakini kwa uwingi na ujazo wa nyuzi zilizoshiba kwa kiwango Pascal mayalla anastahili kupewa tuzo.

Though waliopo CCM na CHADEMA wanamchukia na kumpenda lakini Mimi binafsi naona ni mtu ambae amefungua bongo za waliopo CCM na CHADEMA hata Kama wanambeza akiwakosoa na kuwashauri.

Siku nikija Dar es salaam natamani nikutane na Mzee wangu Pascal Mayalla

Owen Chimela kutoka Mbozi Songwe
Dar alishakimbizwa na Wajumbe yupo Mwanza huko kwa Wasukuma wenzie.

Hatamani kupasikia KAWE
 
Mimi ni kijana wa miaka isiopungua 30 lakini kwa uwingi na ujazo wa nyuzi zilizoshiba kwa kiwango Pascal mayalla anastahili kupewa tuzo.

Though waliopo CCM na CHADEMA wanamchukia na kumpenda lakini Mimi binafsi naona ni mtu ambae amefungua bongo za waliopo CCM na CHADEMA hata Kama wanambeza akiwakosoa na kuwashauri.

Siku nikija Dar es salaam natamani nikutane na Mzee wangu Pascal Mayalla

Owen Chimela kutoka Mbozi Songwe
Kwa miaka yako 30 wewe ni mzee. Endelea kujidanganya kuwa wewe ni kijana
 
Back
Top Bottom