Heshima Itawale

Heshima Itawale

Hahaa so tuanzishe mashambulizi kwa wanao tukana sio?!
 
c bure itakua ulipost kitu wadau wakakushambulia.
 
Heshima haiombwi. Inakuja yenyewe kutegemea post zako. Hata watu wenye tabia za matusi hawalazimishwi kuacha wanaacha wenyewe wakiona hawaendani na mazingira husika. Hata wakitukana wakiona muitikio tofauti huwa hawarudii tena. Giza haliwezi kuondolewa kwa giza huondolewa kwa nuru, ukame hauondolewi kwa kwa jua kali huondolewa kwa kulowanisha kwa maji au mvua. Wakikukosea adabu wape heshima.
Kuna watu wanajisahau sana humu JF, kuna watu si kwamba ni wapole kama mnavyodhani, ama si kwamba hawajui matusi, na kuna watu si kwamba hatuwezi ku-post utumbo, kabla hujamvaa mtu kwa inshu yoyote.. Jipange, watu wako tofauti pia tumelelewa katika mazingira tofauti.


note: nime-copy na ku-paste wakuu.
 
Ila nahs kwenye kila jamii kuna kila dizain ya watu. Yan kuna ambao wana hekma by nature ila wengne wana midomo kama mashimo ya vyoo, hata uandke kpi watakupnga tu tena na matusi ya fedheha.. Ndo maana wakawekaga ile report abuse, kwa ajil yao.
 
Na wewe umesahau kusema kuwa umekopi na upesti!
Oyaaaa tulia umeshaambiwa heshima itawale.
Note: nimecopy name kupaste
 

Attachments

  • 1395078577849.jpg
    1395078577849.jpg
    26 KB · Views: 92
kama UNAELEWA kila mtu kalelewa mazingira tofauti inabidi pia NAWE umchukulie mtu kama alivyo..kisa cha kujitafutia strec mdakio nini?:A S-frusty2::A S-frusty2:
 
Back
Top Bottom