Hesabu zinasumbua

Hesabu zinasumbua

Mr.Professional

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,582
Reaction score
258
Kumbe shida sio zile namba namna ya kuzichezea kumbe hata lugha nayo ni tatizo

hesabu.jpg
 
lakini namba hata lugha iwe kichaga au hata kijaluo,inasovika,ishu i kwamba wengi wetu namba ni miswaki.....
 
Correct method ni kutumia binomial expansion,Anyway I like the way the student is thinking in terms of physical expansion.
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa...
Lakini si ka-expand jamani..........
Huhuhuuuuuu!!!!
 
Back
Top Bottom