Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Semea nafsi yako! Mliapaapa kuwa mkutano wa Magufuli haungepata watu Arusha, alivofunika mkasingia eti ametumia wafanyakazi wa A to Z. Hatimaye kura zikawaumbua. Tunahitaji nusu ya wafuasi wa lowasa kumtangaza monaban mshindi. Na hili linawezekana.

kwa sasa kuwapata wafuasi wa lowasa ni ngumu. subir siku ya kufunga kampeni....
 
Pole sana kufanya kinyume cha maumbile. Naamisha kwa vyovyote vile haujatumia akili ya kichwani kuchambua hoja yako.
 
Nyie maccm mnapenda namba hesabu hamjui.

For ur information, hesabu za chadema kuwa mshindi zilianzia kwenye bvr.

Arusha watu walioandikishwa walikuwa 338,000. Wakati Lowassa anatafuta wadhamini ndani ya chama, wadhamini waliojiandikisha na bvr na ambao ni wanachama wa chadema 269,700 walimdhamini. Hao ni wa jimbo la Arusha mjini tu.
Kwa maana hiyo wapiga kura wa ccm hawazidi 70,000
 
aisee wee jamaa akili zako unazijua wewe tu. hesabu yenyewe hujui.
 

kweli mkuu lema alihamasisha vizuri kwenye bvr sehem zenye wachagga maana kati yao 338000
asilimia 70 ni wachaga kwa hiyo ushindi ni lazima kwa mahesabu hayo
 
MiCCm mtambueni Ar.sio Mtwara. Mnaweza sababisha kitu ambacho hamtaamini macho yenu na kikasambaa nchi nzima.Msijaribu kuiba. Acheni kabisa. Mtawasha kiberiti.
Hahaha umenichekesha sana
 
Ndio maana lema anatafuta kick ya vurugu lakini polisi wameshamstukia
Hana hata aibu bado anamtumia mrh Mawazo kupata sympathy kitu ambacho ni ujinga sana. Kama ipo ipo tu asijifanye hamnazo.
 
kweli mkuu lema alihamasisha vizuri kwenye bvr sehem zenye wachagga maana kati yao 338000
asilimia 70 ni wachaga kwa hiyo ushindi ni lazima kwa mahesabu hayo

Ukabila ndiyo sera zenu maccm... endeleeni kuhubiri matabaka ipo siku
 

Wakati unaandika huu uzi nahsi ulkua unajcheka mwenyewe.
 
Uchaguzi ni karata wengine wamechoma vichinjio vyao baada Lowassa kuukosa urais na wengine hawakupiga kura sasa watajitokeza je namba ni ileile?
 
wewe Arusha ni jiji la wasomi wenye akili wanajua mabadiliko ni maendeleo na majaribio ni sayansi pia ni welevu sana wanajua safi na chafu, hawawezi tena rudi nyuma sisiem kushinda arusha ni sawa na jk kurudia Urais
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…