Elections 2010 Hesabu ya Kura Nayo ngumu- Kikwete ahesabu kura Milioni 15!

Assuming every CCM member supports him. There may be a possibility that some CCM members do not support him and they would call on their friends to vote for Dr. Slaa.
 
Jasusi you did not get it.

If every CCM member gets 3 other non-CCM members to vote for JK, then the total votes expected should be the 15m Non-CCM members and the 5m CCM Members, i.e 20m votes. How many Tanzanians registered to vote this election( is it close to 20m, I cannot remember, but it is not important now).

My take was that JK was asking his members not to vote for him but rather ask 15m other people to vote for him, and that was to me COOL!
 
Hahaaaaa Jk ban a. Unaniacha hoi san a na hesabu zako za makengeza
 
Jasusi you did not get it.

If every CCM member gets 3 other non-CCM members to vote for JK, then the total votes expected should be the 15m Non-CCM members and the 5m CCM Members, i.e 20m votes. How many Tanzanians registered to vote this election( is it close to 20m, I cannot remember, but it is not important now).

My take was that JK was asking his members not to vote for him but rather ask 15m other people to vote for him, and that was to me COOL!
Ha!ha,
Now I get it!
 
Duu Jamaa aliangukia pua kwenye Hisabati!! Nadhani huyu alipata zero kwenye hesabu kama sivyo basi alichakachua. halafu waliojiandikisha 19m yeye anapata kura20m! uchakachuaji at its best.
 
Mimi ni CCM damu damu lakini nimekamata wapigakura 10, 000 na ushehee kidogo ambao nimewashawishi safari hii tukiadhibu chama chetu kwa kuendekeza ufisadi. Ninaamini siko pekee yangu.
 
Atasingizia tena kuwa wasaidizi wake wamemdanganya kama ilivyo desturi yake. Hahahaha. Hii hesabu atakuwa ameifanya makamba (yule mwalimu wa UPE) na jamaa akaichukua kama ilivyo. Du, huyu ndo rais mtarajiwa....naomba tumsaidie kwa kumpumzisha kazi. He will thank us a lot that we did (baada ya muda)
 
JK bado ana ndoto za kiajabu ajabu, katika hiyo hesabu ya wanachama 5m anawahesabia wengi sana ambao walishaondoka ccm siku nyingi kama akina Kuga Mziray ambaye amesema ana kadi ya ccm kaiweka kwenye kumbukumbu zake ili akiingia madarakani atumie kuwadai michango yake aliyowachangia, tehe tehe.

My take: ccm has les than 2m members, wengi wa wanaoitwa wanachama wa ccm hawachangii michango halali ya chama au walishajiunga na vyama vingine vya siasa bila kurudisha kadi na wengine wanagombea nafasi mbalimbali kupitia vyama vingine.
 
Kadi za CCM zinagawiwa kama njugu, hasa wakati wa kura za maoni. Inaonekana kila mtu anayegombea nafasi katika CCM anachapisha kadi zake na kuwagawia watu ambao hawakuwa wanachama wa CCM. Nina mashaka kama CCM wanayo orodha ya uhakika ya wanachama wao. Takwimu zinatumiwa kutujenga kisaikolojia kwamba chama kina nguvu. Ukitazama matamko ya nyuma kama miaka mitatu iliyopita wameanza na namba ya 3m, wakaja 4m na sasa wanadai ni 5m. Hiyo recruitment drive imefanyika lini na wapi? Uongo mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom