He's my everything

Deskmate, yamekua hayo tena? nakusema kwa Mwalimu Faiza Fozy!
Khaaaa! deskmate usimwambie teacher faiza, azabu zake anakwambia ukang'oe majani kwenye shamba lake la viazi na umfulie maguo ya hazbendi wake akilejea kazini.
 
Khaaaa! deskmate usimwambie teacher faiza, azabu zake anakwambia ukang'oe majani kwenye shamba lake la viazi na umfulie maguo ya hazbendi wake akilejea kazini.
Acha basi. Utani wako mbaya huo, mi Mwali bwana!
 
Acha basi. Utani wako mbaya huo, mi Mwali bwana!

Poa, halaf usnunue penseli nitakuazima hii ya kwangu ukihitajia, usisahau kichongeo, nimeona bora kushea ili kubana matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…