Mmmmh! Kumbe unajua kujitetea?Rejao na boby spray wapi na wapi?...yupo busy anagawa kadi kwa wanachama wapya... Niamini tu honey manake mie pia nakuamini na ndio mana nimemruhusu Mwali awe ananisaidia kukuchongea penseli yako...
Hahah..umejuaje? Hapa nilikuwa nataka kuwa sue halafu wakili wangu unakuwa wewe mwenyewe!If I wont trust u then the trust wont have meaning at all (hii nimekopi kwenye muvi kwa ajili yako tu)
hehehe halaf hiyo "body spray" bora umtafsirie rejao, asje akazania tumemtusi kwa kiingereza
Kamanda SEACOM wamepitisha mitambo yao nyumbani kwangu..
Nilimkodishia apartment akakaa siku moja halafu huyo akatoka ndukii...Halaf hus anasema uporoto kafulia analala kwenye baraza ya msikiti mwembechai. Wasiliana na wazembe tumuokoe jamaa
Tumlembee Nairobi unajua jamaa hapo bongo ana msala wa kuondoka na wallet ya wajanja flani kwenye show ya Ipupa, sasa wazembe wamemweka big broza, juzi walimkosa kosa zone za ifakara morogoro. Si ndo maana jamaa hambonji sehemu siku 2 mfululizoNilimkodishia apartment akakaa siku moja halafu huyo akatoka ndukii...
Dah! Kumbe hadi ile show ya Ipupa kamaliza ngoja nicheki na Odinga Nairobi kama anaweZa kumsitiri kijana wetu..Tumlembee Nairobi unajua jamaa hapo bongo ana msala wa kuondoka na wallet ya wajanja flani kwenye show ya Ipupa, sasa wazembe wamemweka big broza, juzi walimkosa kosa zone za ifakara morogoro. Si ndo maana jamaa hambonji sehemu siku 2 mfululizo
Hus hajakupatia hii albam?Dah! Kumbe hadi ile show ya Ipupa kamaliza ngoja nicheki na Odinga Nairobi kama anaweZa kumsitiri kijana wetu..
Nimekuja na kreti za kutosha,juice,bia,cocacola,konyagi mwitu,na viroba,jichagulieni kama huoni kunywaji unachotaka useme italetwa
bado hajazaliwahehe hujapata wa kukwambia?
bado hajazaliwa
iet am gonna wait...basi kuwa na subira!
iet am gonna wait...
ha ha ha hapo ktk red nimependa ulivyo palembesha.basii vizuriiiii
ha ha ha hapo ktk red nimependa ulivyo palembesha.
"vizuriiiii"
thanx but am already IN honey.:biggrin:karibu sana
thanx but am already IN honey.:biggrin: