maana unamureprezent,mgekuwa wote
shem hukuwa lawyer +doctor kwa bahati mbaya. Una akili hadi kichwa chako kimekuwa kizito.
Jibaba nakucheki tu....hehehe na wewe haukuwa mhasibu kwa bahati mbaya, yaani kinywa chako kimekuwa chepesi na kina majibu matam. hehehe hapa hakuna hata mmoja anaefahamu tunaongelea nini. Jimwage shem
Naskia umeamua utoke na gia ya ulokole!Jibaba nakucheki tu....
Mimi? sema mi ni wakukoleza mood!I bet u r not!
am I right?
Mimi? sema mi ni wakukoleza mood!
Ah, sasa nikikupa siri hapa si utakua umesha jua ninavo fanya alafu kule shule utakua unanikataza hata kabla sijaanza? bora niwe nakukolezea tu bila kukwambia siri yangu...matching your post and your avatar I find it hard to deny it. Hivi mood inakolezwaje? hebu tupe dondoo deskmate
Was testing your uchokozi! hehehe keep me guessing cuz I love that game. Na nani amekuchagulia hiyo avatar? must be someone geniusAh, sasa nikikupa siri hapa si utakua umesha jua ninavo fanya alafu kule shule utakua unanikataza hata kabla sijaanza? bora niwe nakukolezea tu bila kukwambia siri yangu...
Nimechagua mwenyewe (blushing and looking at my shoes)...Was testing your uchokozi! hehehe keep me guessing cuz I love that game. Na nani amekuchagulia hiyo avatar? must be someone genius
kama hatutafahamu mnaongelea nini basi hiyo hiyo teknolojia mnayotumia ni nomahehehe na wewe haukuwa mhasibu kwa bahati mbaya, yaani kinywa chako kimekuwa chepesi na kina majibu matam. hehehe hapa hakuna hata mmoja anaefahamu tunaongelea nini. Jimwage shem
Kamanda dont mess with mtumishi wa bwana..Naskia umeamua utoke na gia ya ulokole!
kulaleki! Tutegemeeni tetemeko la arzi karibuni hapo bongo
Hivi kuna mwanaume kweli ataichukia hii Avatar? labda wafuasi wa kameruniNimechagua mwenyewe (blushing and looking at my shoes)...
Umeipenda?
kama hatutafahamu mnaongelea nini basi hiyo hiyo teknolojia mnayotumia ni noma
Hivi kuna mwanaume kweli ataichukia hii Avatar? labda wafuasi wa kameruni
Dah! sasa sadaka zimeangamia.Kamanda dont mess with mtumishi wa bwana..
hehehe na wewe haukuwa mhasibu kwa bahati mbaya, yaani kinywa chako kimekuwa chepesi na kina majibu matam. hehehe hapa hakuna hata mmoja anaefahamu tunaongelea nini. Jimwage shem
Jamaa anachafua CV tu mimi faza wangu ni balozi wa Tanzania nchini shekoslovakia (sasa wamevunja muungano), Hapa ninapoishi tunalindwa na jeshi la NATO. Sibebi boksiHahahahaha! Kuna thread ya Nyani Ngabu ya wabeba maboxi, amekutaja wa kwanza... hivi unafanya kazi hiyo?
Kumbe? haya basi... nikwambie kitu? :gossip: I have a fantasy about strong men, wakiwemo wabeba maboksi, so I thought...Jamaa anachafua CV tu mimi faza wangu ni balozi wa Tanzania nchini shekoslovakia (sasa wamevunja muungano), Hapa ninapoishi tunalindwa na jeshi la NATO. Sibebi boksi
teh teh tehwhatever u think but don't think dirty
nye endeleeni tu,mtu akipiga chabo nitawaambiahahahahaha! Wanga wanachabo bwana.