Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,112
- 100,599
You are a Great Thinker indeed!
hauna nyingine mkuu..tukaongezea hapo
Hii helufi inawakilisha vitu vitamu na venye sukari sukari
Mfano.
>>K.....Keki
>>K.....kashata
>>K.....kalimati
>>K........???
kiboga,
Kibushuti,
Kimbele mbele,
Hahahahahah,hahahaahahahaha...unamaneno weyee..nini hichoo
Jamani tupunguze kunakili na kupachika imekua kero sasa aaghr!
napita tu k kama kamoja tu..
bebi umeanza eeh.....edit basi isomeke herufi bana.....
Kata K
nani kakariri
ina maana wandugu..tushamaliza mambo ya herufi K?...
kanga....
kande....
kimswilia.....
kunde....
kaundime.....
kindumbwendumbwe.....
niendeleee au hizo zinatosha.......?