ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Asante mkuu,ubarikiwe.You are a God sender, have a nice Monday mkuu. Again May God Bless you massively.
Acha ngono zembe ndiyo jibu lake.Hapo kwenye kumtambua mtu aliyeathirika ndio kazi ilipo
Ni kawaida kwa viral infections kutokuwa na dawa mkuu.Kwanini havina dawa mkuu
Uko sahihi mkuu,ila jamabo la maana kama huna hiyo kitu jikinge usipate.From what i know about HSV infection sio hatari.......kama una kinga dhaifu utaugua......kinyume na hapo utaishi kawaida
Punnisher[emoji111]
Umeshawahi kusikia kuna kirusi kinauliwa na dawa....?!Kwanini havina dawa mkuu
Unaweza uwe hauna habari na ngono zembe, ila jinga moja sababu ya umachepele wake likaja kukuletea haya magonjwa ndani ile hali wewe ulikuwa mtulivu na hauna mambo mengi.....Acha ngono zembe ndiyo jibu lake.
Weeeee bwana weee gonjwa ni gonjwa.... Nani anataka kukaa na maradhi bwana.....From what i know about HSV infection sio hatari.......kama una kinga dhaifu utaugua......kinyume na hapo utaishi kawaida
Punnisher[emoji111]
Mmmmmmhmn jamani mbona tunatishana sasa....90% ya watu wote duniani wana HSV_1 na husambazwa haswa wakati mtoto akiwa mdogo sana kutoka kwa watu wengine wkt wa kubebwa, kubusiwa nk. Kirusi huyu mtu ataishi naye maisha yote na huwa active mtu anapopatwa ugonjwa mwingine km homa, maana hapo kinga inashuka kidogo na kumfanya kirusi kuwa na nguvu. Huyu HSV_1 hana madhara zaid ya hayo malengelenge ya mdomoni na hupona ndani ya siku 7. Usiogope!
HSV_2 ndio haswa wa ngono!!!