Kama Chadema wanafikiri Dk. Slaa ni nothing ndani ya chama wafute hayo mawazo kabsaa na badala yake watafute maridhiano nae kwa udi na uvumba.
Dk. Slaa kakitumikia chama kwa uaminifu na kwa muda mrefu, huwezi ongelea Chadema ya leo hii bila kumtaja Dk, Slaa ni icon ya Upinzani Tanzania hii
Ni vema wamtafute wafikie maridhiano au wakubali kutokukubaliana ndio zoezi hili lieendelee.
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi
Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.
Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.
Laana itamtafuna huyu mzeee

Mi naona swala la Slaa kutokubaliana na wenzake lina sura mbili ambazo zina mchanganya. Hata ingekuwa ni wewe hebu fikiria unafanyaje maamuzi ya haraka
1. Slaa alijijengea umaarufu yeye pamoja na chama chake kwa kujitanabaisha kuwa ni mchukia ufisadi na mafisadi hadi tone lake la mwisho la damu. Hii imemfanya watu wampende na kumwona ni mkombozi wa kweli. Watu kama lowasa walikuwa wanamjengea sana jina slaa pindi asimamapo jukwwani na kuanika mabaya yao.. sasa iweje leo hii ageuke kirahisi hivyo amnadi yule aliyemtukana na kumjengea jina kuwa mpambana ufsadi? Hata kama nia ni kuitoa ccm madarakan lakini sio rahisi kwa mtu kama slaa kukaa meza moia na kumsifu fisadi lowasa. Mjue wazi lowasa akianza kampeni ataunganisha na lile genge lake la wezi ili kuongeza nguvu. Kweli leo slaa akacheke na chenge na rostam ? Ni ngumu kuswallow hata kama n wewe
2. Yeye mwenyewe Slaa anatamani sana uraisi. Hataki kulionesha hilo wazi lakini anatamani sana. Na ametumia nguvu n na muda mwingi kufanya watz wampende na kiasi alifanikiwa.sasa leo umwambie kaa benchi wenzio wachukue nchi hivi unafikiri ni rahisi? Wangapi wameenda hata kuroga ili aupate hata umeneja tu? Vipi uraisi?
Yuko katika wakati mgumu
Mwacheni atake time to think
Its not easy?
Magamba mmevurugwa cku dr aktoka hadharan na kukanusha uongo wenu mtakamatwa na matumbo ya kuha......????Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi
Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.
Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.
Laana itamtafuna huyu mzeee
Laana utapata wewe unayemtukana asiyekutukana. Leo unaona Slaa msaliti kwa sababu ya Lowassa aliyevamia chadema? Kati Mbowe na Slaa nani kamsaliti mwenzie?
Kweli ujinga ni mtaji wa wenye hela.
Dhambi ya kukaribisha lifisadi imeanza kuwatafuna mapema namna hii? Hata huyu Padri aliyejitolea maisha yake yote kukitumikia chama na kukifikisha hapa kilipo naye mmeanza kumpiga jaramba?
Chonde chonde jamani. Kuna mamilioni ya watu ambao kwa mara ya kwanza wanategemea "ukombozi" kutoka kwenu japo kwa sasa wako disillusioned na hawana uhakika kama Lowassa ndiye mkombozi waliyekuwa wakimsubiri. Angalieni basi msiwaangushe. Please!
Wewe punguani kweli nimeamini nyumbu hawawezi kuisha.Nina hasira sana mkuu kwa huu usaliti wa huyu mzee
Rais wa moyoni unamtoa unamuweka fisadi.Ata mimi Dr Slaa nimeanza kumtoa moyoni..ameanza usanii
Hawa ndiyo makamanda wa Chadema.Mimi huyu padri mzinifu kaniudhi kweli na hilo shugar mami lake
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi
Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.
Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.
Laana itamtafuna huyu mzeee
Dk. Slaa kwenye siasa pamekuwa pachungu..... kurudi kwenye upadri hawezi kaishaonja raha ya tendo la nd.a