Naweka chini kalamu
Nijiunge sisiemu?
Kwenye chama cha Mwalimu
Kuingoa hii sumu?
Ama mtanilaumu?
usithubutu kujiunga na chama cha mafisadi, maana wote wananuka mama Simba katuthibitishia hilo, ni hatari kwa hadhi na heshima yako mzee Mwanakijiji sauti ya kijiji.
kama kuna wasafi mbona kufikia leo JK Mrisho anaogopa kusign barua ya kumfukuza kazi. hawa wote wananuka wamepungukiwa utukufu.