Heri ya Noel 2009 na mwaka mpya 2010!

Heri ya Krismas na Mwaka mpya. Vipi mwenzetu unaelekea Katavi kama jina lako? wasalimie wote huko. Mwenyezi Mungu awabariki wote, na msherehekee vema. Urudi ukiwa salama.

Asanteni sana wote.
 
Nami naungana na wana janvi wenzangu kuwatakieni wanajanvi wote sikukuu ya Noeli yenye neema na mwaka mpya wenye matumaini.
 
Heri ya Krismas na Mwaka mpya. Vipi mwenzetu unaelekea Katavi kama jina lako? wasalimie wote huko. Mwenyezi Mungu awabariki wote, na msherehekee vema. Urudi ukiwa salama.

Asanteni sana wote.
Yes naelekea mitaa ya huko Katavi. Asante sana
 
 
 
Kila la heri Mkuu!,,,,Uzaliwe upya pamoja naye!

Kweli ndugu na hasa ukishapata gongo la kijijini ndo utaijua Xmass ya 2009 imenoga. Nilitembelea Mwanza 1994, vyoo vyote vya mashimo vilikuwa mali sana kwa sababu humo ndo kulikuwa na mali ghafi ya kutengeneza gongo. Nasikia ilikuwa bomba sana ila sijui kama huo mchezo bado unaendelea, especially maeneo ya Mabatini!!
 
Heri ya sikukuu mzee karibu sana mndenyi mimi naenda kesho ila kwetu kuna kila kitu so libeneke litaendelea
 
Binafsi nimeshazoea kuona ukurasa huu wa JF unabadirika na kuwa na mandhari nzuuri kabisa wakati wa sikukuu kubwa kama x-mass au Eid sasa leo tar 24 sioni changes za aina yeyote ile au wenzetu mmeenda likizo??

Merry Christmas JF Mods na Members wake wote.. Mungu awatangulie kwa kila jambo
 
RAHA YA MILELE WAPEWE MODS WOTE!................na mwanga wa milele uwaangazie...!wapumzike kwa amani...AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…