Ndugu zangu wapendwa wa jf nawatakia heri ya mwaka mpya 2013. Mwaka huu uwe wa upendo jamani tupendane tuungane ili tusogeze hili gurudumu la maisha kwa amani. Nawatakia wa tanzania wote na east african community kwa ujumla heri ya mwaka mpya na mungu awe nanyi.