ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,568
habarini wapendwa wangu
Nimewamiss sana na kitambo sijathread humu ndani kutokana na ubusy wa maisha
so ndo nimejisongeza kwa upya tena mama mfundaji wenu, nitakuja na mada kabambe
za mwaka mpya
Hivi mnajua kuwa mwaka huu haugawanyiki huu hahahahaaaa ila ni mwaka wa kuvuna
na kile kilichoshindikana kwako tarajia mwaka huu kitatokea
Ni mwaka wa kutekeleza na sio kuwa mvivu au mzembe inuka na fanya kitu cha kuonekana
kabla hujafikia hatua ya kuchoka na kuanza kujilaumu baadaye
mabestito hatukuja duniani kukaa tu bali kutumika na kujituma huna budi kujituma na ukawa
mtu murua hapo baadaye. sina mengi leo ila nitaleta mitwango mikali. kaeni mkao mzuri wa
kujifunza na kutekeleza
Heri ya mwaka mpya mwema wenye Baraka na mafanikio tele
Wasalaam
Ladyf