Heri ya Mwaka Mpya kwa wana UKAWA

MUNGU atabaki kuwa MUNGU, hata kama CCM na wafuasi wake wakimdhihaki vipi!

Asante tena MUNGU kwa kutuvusha, Pamoja na misukosuko mingi isiyo kifani!
Ameeeeeennn
 
Nimemsikia mtumishi mmoja wa Mungu leo akisema kuwa kuna watu waliibiwa kura, ila Mungu aliamua kulinda Amani ya Tanzania. Na akasema wale waovu waliofanya vile, watadharauliwa na jamii. Tunakushukuru Mungu sana kwa Amani & Umoja wa Taifa letu.
 
Ukawaa hoyeeeee tupo pamoja tena tuna hasira kama mbogo majipu lazima yatukome ngoja turudi mjengon
 
Hizi salamu ni maalumu kwa wanaukawa, ccm mnaingiaje hapa? Mnakuwa kama machoko au mnatafuta kutatuliwa marinda?
 
Wana M4C mlishinda kwa 62% sio?
 

Attachments

  • 1451612741108.jpg
    15.5 KB · Views: 27
Nawe pia kamanda tupo pamoja kamanda
Wanajamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…