Tunaumia wengi sana mkuuNasema na nitaendelea kusema bila sheria kandamizi ya uchaguzi kubadirishwa sipigi kura tena! Akilini mwangu namuona Babu Duni akienda kuwaambia kuwa kura za urais zinazotangazwa ni tofauti kabisa lakini alizuiliwa wakijua akishatangazwa mshindi huna pa kulalamika! Sio siri maumivu yanazidi ni bora isijue mambo kwani maarifa mengi huongeza huzuni nyingi! Kwa wanaojua system ilivyofanya! we are in pain!
Mkuu nawe ni chadema masalia au mamlukiMakanda ule mwaka wa kuzungusha mikono hatimaye umetoweka..
Sasa huu ni mwaka wa kupata mwenyekiti na katibu mkuu mpya!
Happy New year Makamanda
...na mtaendelea kuburuzwa mpaka mnaingizwa kaburini!Matembo wa dentist kinana
Amkeni kutoka utumwa wa kifikra!!!Mnaburuzwa nyinyi manyumbu nyinyiem
Isiyo na kifani??hata mkilia fimbo ziko pale pale..teh teh..MUNGU atabaki kuwa MUNGU, hata kama CCM na wafuasi wake wakimdhihaki vipi!
Asante tena MUNGU kwa kutuvusha, Pamoja na misukosuko mingi isiyo kifani!
kamanda , upo mum ? shalom..Nawe pia kamanda wangu........uwe na wakati mzuri.........