Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,504
- 12,176
Neno la kuuingia nalo mwaka huu mpya.......
“Zamani (siyo mbali miaka ya 90 hivi)dada yako akipata mimba kabla ya kuolewa, anajificha nyumbani hadi ajifungue na washikaji wanakucheka na wanakutania wewe ukipita kitaa, ila sasa ni tofauti maana hiyo mipicha na bwana wake mpya kila kukicha insta hadi kero na akipata mimba na picha ya tumbo juu ataweka insta hata wewe kaka yake uone kazi ya shemejio"
Happy New Year Everybody️
Changes...siku hizi wanaooketeza habari kina Millard nao ni ma influential... Unaandika tu " alichoandika kingwagala kuhusu kakobe" ...Neno la kuuingia nalo mwaka huu mpya.......
“Zamani (siyo mbali miaka ya 90 hivi)dada yako akipata mimba kabla ya kuolewa, anajificha nyumbani hadi ajifungue na washikaji wanakucheka na wanakutania wewe ukipita kitaa, ila sasa ni tofauti maana hiyo mipicha na bwana wake mpya kila kukicha insta hadi kero na akipata mimba na picha ya tumbo juu ataweka insta hata wewe kaka yake uone kazi ya shemejio"
Happy New Year Everybody️
Halafu General Galadudu ndio baba mlezi!!!
Astaghafurulilah!
Mpwa 2017 ulikuwa mwaka wa kutubu.Hahah mpwa sio kuwa mkeo wa ujanani kabaki 2017?
Habari za Mwaka Mpya BabuAstaghafurulilah!