Heri ya mwaka mpya 2018 wana MMU

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,493
12,153
Neno la kuuingia nalo mwaka huu mpya.......
“Zamani (siyo mbali miaka ya 90 hivi)dada yako akipata mimba kabla ya kuolewa, anajificha nyumbani hadi ajifungue na washikaji wanakucheka na wanakutania wewe ukipita kitaa, ila sasa ni tofauti maana hiyo mipicha na bwana wake mpya kila kukicha insta hadi kero na akipata mimba na picha ya tumbo juu ataweka insta hata wewe kaka yake uone kazi ya shemejio "

Happy New Year Everybody
 
UNSET-1-640x631.jpg
 
Changes...siku hizi wanaooketeza habari kina Millard nao ni ma influential... Unaandika tu " alichoandika kingwagala kuhusu kakobe" ...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom