Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,501
- 12,160
Neno la kuuingia nalo mwaka huu mpya.......
“Zamani (siyo mbali miaka ya 90 hivi)dada yako akipata mimba kabla ya kuolewa, anajificha nyumbani hadi ajifungue na washikaji wanakucheka na wanakutania wewe ukipita kitaa, ila sasa ni tofauti maana hiyo mipicha na bwana wake mpya kila kukicha insta hadi kero na akipata mimba na picha ya tumbo juu ataweka insta hata wewe kaka yake uone kazi ya shemejio "
Happy New Year Everybody ️