Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

Ila kwenye makazi ungeweka angalizo, baada October 2015 yatakuwa Msoga!
 
Katika kisima ambacho mama yangu alikuwa anachota maji nikiwa na miaka 2 ndiyo hapo hapo maji yanachotwa tena sasa kwa shida,leo nina miaka 42,wanyama pori nao!.Namtakia maisha mafupi.
 
Hongera mkuu.....ila naona uraisi si kazi nyepesi...umeezeka kwa kasi mkuu....! Pole bhana....hope unatamani tar 25 ifike haraka upumzike....!!! HBD MKUU!!

Zile suti za savaille row hazimtoshi tena,chezea lowassa wewe
 
Raisi wakati ukimaliza kukata keki na kupuliza mishumaa unaweza ukatutajia majina ya watu wafuatao;

1) Majina ya watu waliobeba mabillion pale Stanbic Bank kwa Magunia?!

2) Wamiliki wa hisa za Simba Trust ambao ndio wabia wenza wa Singasinga wa Escrow maana Simba Trust imesajiliwa Australia na wewe juzi juzi hapa ulikuwa huko kutunikiwa Shahada?!

3) Majina ya wale majangiri arobaini ambapo ulisema kiongozi wao yupo pale Arusha?!!

4) Majina ya wale wauza unga ambao tangu mwaka 2007 ulisema unawajua na majina unayo?!

5)Lile ekalu lako pale mtaa wa Migombani inasemekena ilikuwa nyumba ya umma,vp ulinunua kwa zabuni ama ulipewa zawadi tu?!

5) Yale majina ya wezi wa EPA ambao uliwaomba tu kiushikaji warudishe walichoiba,je nani na nani alirudisha na nani alikaidi?!!

6)Mkuu uliapa huwajui wenye Dowans na wala huna urafiki nao,vp huwajui hadi leo?!

7) Richmond mnasema ya Lowassa,je unaweza kutamka rasmi sasa kama ni yake?! Ukishattamka au usipotamka unaweza kusema 2006 kule Marekani ulisema umekutana na wawekezaji mathubuti wa Umeme na mgao utakuwa historia na ikajulikana ndio hao Richmond,imekuwaje tena leo ni feki?! Marekani ulikutana na wenye Richmond wapi na nani alikukutanisha nao?!

Nakutakia maisha mema na birthday njema ili uone vizazi vyako na vyetu kama vitaishi sawa na watoto wa Nyerere na sie walalahoi!!!
 
Katika kisima ambacho mama yangu alikuwa anachota maji nikiwa na miaka 2 ndiyo hapo hapo maji yanachotwa tena sasa kwa shida,leo nina miaka 42,wanyama pori nao!.Namtakia maisha mafupi.

Ni mmoja tu anaetenda....Mungu wa mbinguni peke yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…