asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
- Thread starter
- #41
You cant be siriaz.
true.....
You cant be siriaz.
true.....
heri ya kuzaliwa mamndenyi
Mbona sina mume wala hawara ushemeji wa wapi.
Khe khe khe khe anataka akutongoze kwa niaba ya rafikiye.
Ndoa za humu sasa basi.
Happy birthday mamndenyi...may you live longer and healthier
Kwi kwi kw kwi lol!!!! hahahahahah umenyoosha mikono juu eeh!!!!! Shauri yako wenzio humu mapenzi moto moto si unaona idadi ya watafutaji inavyoongezeka kwa kasi ya kutisha....Kwani unafahamu kama huyo mupenzi mtarajiwa naye yumo humu!?
Asante sana. Ni kweli mie wa shambA. Karibu.
Aisee nitakuja,najua sitakosa mkungu wa ndizi
ametimiza miaka mingapi pacha wako?