Heri na mwaka mpya

Heri na mwaka mpya

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Ndungu wanafamilia wa familia ya jamii foram,sinabudi kuwatakikia afya,furaha njema katika kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012,kwa amani na upendo,sinabudi kuwaombea wote walio tutanguli mbele za haki!naomba kusema mwaka 2011 ndio mwaka niliojiunga jamiiforam,nimejifunza mengi juu ya mstakabali wa taifa leo kutokana na wachangiaji na watoamada ambazo daima zimekuwa nichangamoto katika nchi yetu iliokidhiri maskini sana! Na matajiri sana(mafisadi) nilifarijika wakatimwingine ajenda nilioisoma leo jamiiforum leo niliikuta gazetini au kwenye chombo cha habari baada ya saa 24,.viva jamiiforum viva jamiiforum family.
 
Sijaelewa vizuri title,inatakiwe iwe heri na mwaka mpya kama ulivosema au heri ya mwaka mpya?
All the same,thanx and u too stay blessed.
 
Back
Top Bottom