Heri kura yangu iharibike kuliko kumpigia Samia

Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii, sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia yupo Ethiopia, katika kipindi codi za watanzania zinapigwa kama ngoma ni kipindi ichi aisee
 
Kwa ujumla, alichokisema Trump ni sahihi. Waafrika, hasa watanzania hawakistahili kujitawala kwa sababu hawana uwezo.

Watawala hawana uwezo. Wananchi nao hawana uwezo.

Kama wananchi wangekuwa na uwezo walistahili kuifurusha haraka sana serikali hii ya ubabaishaji, isiyomudu chochote cha maana.
Ukiifurusha CCM utaweka nani kama mbadala?
 
Achana na huyo mwehu. Hivi solar zinazouzwa mtaani zinaweza kuendesha hata mashine ndogo tu ya kusaga mahindi au kukoboa mpunga? Inaweza kuendesha kiwanda? Inaonekana humu tuna watu punguani wengi sana ambao wanafikiria kazi ya umeme ni kutoa tu mwanga.
Tushawambia kama mnaona nchi hii maisha magumu nendeni Burundi ruksa
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii, sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kura Yako haitoharibika sababu,

HATOGOMBEA!!
 
Bado sijaona sababu ya kwenda kuungua jua kumpigia mtu,,,Nchi ya hovyo Sana hii
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii, sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ndio demokrasia,ambapo mimi ntampigia samia,na sio hivyo tu bali ntamfanyia kampeni kubwa sana ashinde
 
Back
Top Bottom