MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,217
- 43,752
Kitakachomfanya Mama Samia asiwe Rais hadi 2030 ni endapo tu hatakuwa hai. Hiyo kura yako moja ya kipumbavu kampigie Fahmi Dovutwa.
Magungu sijawahi kumpigia kura,sijawahi kumkubali huyo mwehuSasa mbona Mangungu ulimpigia kura huku akiwa amekudanganya asubuhi kweupe kwa kukuletea Manzoki ili tu akusalimie kwenye ule uchaguzi wenu uliopita!
Huna marindaKitakachomfanya Mama Samia asiwe Rais hadi 2030 ni endapo tu hatakuwa hai. Hiyo kura yako moja ya kipumbavu kampigie Fahmi Dovutwa.
Hebu sema kwa sauti! Una sababu milioni za 🗣️ kumchafua nani?
Kumchagua,msijitoe ufahamuTeh teh teh teeeh!!
Siyo kila mtu mfanyabiashara usikaririkama umeme unakatika si uuanze kuuza solar au majeneta uoni unapiga pesa hapo
Kama sukari bei juu si uache kunywa chai uoni una save pesa hapo
Uoni fursa hizo so amka mama anaupiga mwingi sana tena sana
Kweli aisee,ccm watashinda ila watu hawatapiga kura maana ccm na upinzani hamna tofauti , ila watu hawatapiga kura.Watu wengi sahv hawatopiga kura
Ccm uwanja wenu huu mmeachiwa
Sisi tunasubiria tu nature iamue
Ova
Sasa tufanye nini,tukae kimya nature tu iamue?Sikumbuki mara yangu mwisho kupiga kura ni lini kwenye nchi hii ya kidikteta
Nahakikisha nakutupia jini kabla 2025 uwe tahira,yaani SS tunatabika halafu we unajimwambafy kura Kwa saa 100Sawa kwani Kuna shida Yako ikiharibika? Wala haiwezi Kuzuia yeye asiwe Rais Hilo ndio la msingi.
Sijawahi chagua ccm na wengi humu wanadhani Mimi ni ccm ila this time nitakuwa wa 1 kwenye foleni kura Kwa saa 💯✓✓✓
Nina sababu Milion za kumchagua Samia.
Usitumie neno la "Tu" sema unataabika ndio utueleze wewe unataabika na nini?Nahakikisha nakutupia jini kabla 2025 uwe tahira,yaani SS tunatabika halafu we unajimwambafy kura Kwa saa 100
Wewe ni ccm kindaki ndaki Baki hukohukoNchi imevaa dera kwa kweli. Saivi heri kura yangu iharibike tu maana upinzani pia sitokaa niwape kura yangu.
kama umeme unakatika si uuanze kuuza solar au majeneta uoni unapiga pesa hapo
Kama sukari bei juu si uache kunywa chai uoni una save pesa hapo
Uoni fursa hizo so amka mama anaupiga mwingi sana tena sana
Kitakachomfanya Mama Samia asiwe Rais hadi 2030 ni endapo tu hatakuwa hai. Hiyo kura yako moja ya kipumbavu kampigie Fahmi Dovutwa.
Fursa yakuuza generator? Kila mtu akiuza izo vitu inakuwake mkuu na wangapi wanauwezo wakuuza? Sukari matumizi sio chai tu changamsha ubongo huo.....
Matumizi ya umeme ni muhimu kwanza hupunguza garama za kiuwendeshaji kwenye biashara yoyote ile tofauti na generator!!!!!
Hamna fursa kwenye hivyo ulivyo vitaja hapo kwa vijana wenye uchumi mdogo mkuu