Heri kubaki single, mtu akikuweka ndani, anakodolea macho wanawake wengine

monicca kabla ya kutupa lawama jiangalie wewe kwanza. wengi wetu tumekuwa wa kwanza kutupa mawe kwa wengine pasipo kuangalia chanzo. mara nyingine ni vigumu kujua chanzo kama wewe ndiye chanzo kutokana na wewe kuyaishi yale maisha ya kile chanzo. wengine hawapendi kuambiwa wewe ndiye chanzo na badala yake husababisha matatizo mengine tofauti na yale yaliyotakiwa kutatuliwa. chukua muda ujitafakari mlipojikwaa ni wapi
 
Kiukweli maisha ya mahusiano ya siku hizi yanatufanya kuwa na stress zaid kuliko amani, utakuta mtu anajidai anakupenda na kuahidi hivyo but akikuweka ndani tu anaanza kukodolea macho wanawake wengine.

Nimeona bora nibaki mwenyewe. Kwaherini wanaume wote .
Nani alikwambia Mwanaume kuoa ndio anakua kipofu? Atajuaje kama anakupenda bila kutakasa macho pembeni? Acha wivu
 
Kiukweli maisha ya mahusiano ya siku hizi yanatufanya kuwa na stress zaid kuliko amani, utakuta mtu anajidai anakupenda na kuahidi hivyo but akikuweka ndani tu anaanza kukodolea macho wanawake wengine.

Nimeona bora nibaki mwenyewe. Kwaherini wanaume wote .
Nafikiri hii ndo itakuwa episode ya mwisho ya series ya movie yako tamu. Tunasubiri series nyingine na new epsode... kila la kheri
 
Kiukweli maisha ya mahusiano ya siku hizi yanatufanya kuwa na stress zaid kuliko amani, utakuta mtu anajidai anakupenda na kuahidi hivyo but akikuweka ndani tu anaanza kukodolea macho wanawake wengine.

Nimeona bora nibaki mwenyewe. Kwaherini wanaume wote .
OK kuwekwa ndani hailipi vipi kuhusu kuwa mchepuko uko tayari?
 
Daaaaa naona umeamua kufanya ya wote sasa, mambo yakiwa magumu unakamata yeyote tu .....haya bwana....
 
Kiukweli maisha ya mahusiano ya siku hizi yanatufanya kuwa na stress zaid kuliko amani, utakuta mtu anajidai anakupenda na kuahidi hivyo but akikuweka ndani tu anaanza kukodolea macho wanawake wengine.

Nimeona bora nibaki mwenyewe. Kwaherini wanaume wote .
Moniccca kukimbia tatizo sio njia sahihi ya kulitatua, mwombe mungu akusaidie juu ya ndoa yako na kisha ongeza mambo na ufanisi wa aina fulani fulani hivi mbona utakua wa thamani sana juu yake natumai utanielewa sana
 
Kiukweli maisha ya mahusiano ya siku hizi yanatufanya kuwa na stress zaid kuliko amani, utakuta mtu anajidai anakupenda na kuahidi hivyo but akikuweka ndani tu anaanza kukodolea macho wanawake wengine.

Nimeona bora nibaki mwenyewe. Kwaherini wanaume wote .
Wewe macho huna???
 
Back
Top Bottom