Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,491
- 41,137
Nimepitia mahusiano kadhaa, kiukweli linapokuja suala la kuheshimu hisia za mtu mimi nipo makini sana hii imekua ikinifanya niwe mwaminifu sana katika mahusiano yangu licha ya kupitia vishawishi kadhaa lakini kipindi chote hicho mpaka sasa hivi huwa nakua committed na mtu wangu ambae nipo nae kwa wakati huo
Nilichojifunza mahusiano ambayo hayana drama yanakua bored kwa wanawake yaan ile kuwa mwaminifu kila siku mna amani na mnacheka pamoja wanawake hawapendi.. zile drama za mara kwa mara.. kakuta text ya demu kwenye simu yako mara kasikia una mchepuko mtaa wa pili, mara umerudi nyumbani asubuhi ndo mahusiano wanayoyapenda hayo.
Mtu unajitahidi kuwa mpole mwaminifu unamjali lakini bila sababu vinaanza tu visa ukimwambia usifanye hiki yeye ndo anafanya tena makusudi kabisa yaani ilimradi tu akutibue mgombane, password ya simu anaijua na yupo huru kuipekua simu muda wote wala hajawahi hata kukuona una mazoea na mademu lakini ghafla anakushutumu una mademu wengine.
Wanawake hawapendi kabisa mahusiano yenye amani, mwanamke akijua yupo peke ake anajisahau anapata kiburi anakuona bwege ambae hauwezi kufanya uamuzi wowote yaani kakukamata akili, amani ikizidi atatafuta visa akutibue sasa dawa ya hii ni kumletea michepuko tu ni kumtreat rudely mpaka akili imkae sawa
Dada zangu mtu akiamua kutulia na wewe mwaminifu na anakuheshimu basi m-treat vizuri usimchukulie kama mjinga usichukulie umempata bwege wa kumwendesha unavyotaka, achana na viuchokozi vya kuanzisha migogoro isiyokua na kichwa wala miguu.
Sasa najivua rasmi u-mr. guy na mimi naanza kuwa play boy kuwa rude boy, najiapiza katika maisha yangu sitakuja tena kuheshimu hisia za mwanamke sitokuja tena kuwa mstaarabu katika mahusiano yangu kuanzia sasa hivi awe mwanafunzi, beki tatu,malaya, bar maid, mke wa mtu yoyote atakaeingia ndani ya 18 zangu ni kuchakata mbususu tu.
mzabzab Zero IQ izo biz rikiboy naomba mnikaribishe chamani