Heri James atenda kosa la jinai

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,874
Police acheni double standard.

Heri James na vijana wenzake wa UVCCM wanapaswa kushtakiwe sababu wamevunja sheria ya kanuni za makosa ya jinai kifungu cha 390,"Mtu yeyote ambaye anamshawishi au anamchochea mtu mwingine kutenda kosa, atakuwa anatenda kosa bila kujali kwamba ushawishi au uchochezi huo hauna madhara" ,"Any person who solicits or incites another to commit an offence is guilty of a misdemeanour notwithstanding that the solicitation or incitement has no effect."

Fact: Heri James, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa katika sehemu tofauti tofauti yeye na vijana wengine wa UVCCM walitoa maneno ya kuchochea na kushawishi vijana wa UVCCM kutenda kosa la kuwavamia na kuwashambulia viongozi wa vyama pinzani huku akijua fika ni kinyume na Sheria ya kanuni za mskosa ya jinai kifungu cha 390.

Hivyo napenda kutoa Rai kwa polisi kumchukulia hatua Heri James na vijana wengine wa UVCCM kwa kumfungulia kesi.

Abdul Nondo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria wetu sidhani kama unawajua!! Akina Mayalla P
A Msando (nasikia kaandika barua kumkemea Pompeo na Wamarekani wenzie nakala kwa JPM kuraani kitendo alichofanyiwa DAB)

So expect nothing
 
Awamu hii sheria ni shoka na si msumeno,alisikika mjinga mmoja akipayuka!
 
Inasikitisha sana; unakuta sasa hivi boss wakeanakenua tu meno kwa furaha.

Ukitaka kuona chamtema kuni mguse mwanaCCM _ JPM
 
Watanzania sisi mang'ombe sana,, mtu anatoa maneno ya kuvunja amani tunamwangalia tu? Vijana wa vyama vya upinzani wanatakiwa wamwangukie huyu mpumbavu, yaani yeye ndiye auawe kwanza!
 
Kati ya vijana wa pumbavu waliopewa taasisi ya CCM kuongoza ni Kheri, amepata hiyo nafasi anajimwambafai sana, na yeye eti anatishia watu uhai, watu wauwawe! Haya bwana ngoja tuwaone mwisho wao.
 
Safari hii akijichanganya mtu anga zako,usimpe nafasi ni kata funua tu mpaka kieleweke...
 
Back
Top Bottom