Here's the Site Iran Doesn't Want Inspectors to See

Here's the Site Iran Doesn't Want Inspectors to See

Red: Excuses like these do not hold water, by the way, who decide whether now it right time and place?
Black: I don't believe you have been brainwashed to the extent of calling dragging Palestines into Israel prisonwarehouse, Annihilation of Phalestine childrens by Israel bombers and others the like as evacuation.

Red: If you think via that route, I can assure you, there were no United states of America, Tanzania, etc.

Black: ​I know you only recognize a state which is recognized by Israel.

Mkuu, wewe subiri Iran wapewe Kipigo cha nguvu kama kawa. Ndio mtaelewa kuwa Israel ni moto wa kuotea mbali.
 
inabidi aamini na afahamu hio ndo driving force ya hao jews-
ni sawa na kusema kuna watu wanaua in the name of koran-so hata wale wasioamini koran wanatakiwa waamini kipengele hicho na kujua huo ndo utaratibu wao

okey so unachotaka kusema kuwa bible itumike kam source yenye kuthibitisha haki yao katika ardhi ile. wapalstina wakislamu na waislamu wote wanaamini kuwa al aqsa,al quds na maeneo ya nayo zunguka ni sehemu matakatifu ya waislam na wana haki ya kuimiliki.

jifunze ndugu edward kuwa bible sio kitabu cha wote atakama ni driving force.mfano wako wa watu wanaoamini kipengele ulicho kitaja haki lingani na hili suala.umesema wanatakiwa waamini,sasa mbona israel hawaamini haki ya wapalestina pale(usidanganye kuwa wa palestina hawana driving force).au kwakuwa israel anatakiwa aaminiwe basi palestina akae kimyaa.

labda tuanze mwanzo vizuri,nani jews?
 
Iran using nuclear facilities for peaceful purposes my feet, what about the boastful leader President Aminhajad of annihilating the Israel State!!! Can u still believe the WORDS OF PEACEFUL proposes????
Iran is an evil state believe it or not, UN and the IAEA should be careful least a big disaster may be fall our sister State of Israel and neighbors!!!!!

Another stupid Goyim!
 
Bila hata kutishiwa wanatengeneza bomu la nuclear kuangamiza taifa huru la Israel, mara nyingi raisi wa Irani amesema hivyo!!!!

wapi amesema hivo,yeye alisema wakichokozwa ndio atafanya hivyo lkn si kuanza tu,unajua kuna mayahudi 28000 wanaishi iran na wana member wao bungeni kuwakilisha na hao wapo dhidi ya mazayuni,iran haipo dhidi na mayahudi.kama hawataki mayahudi si wange waua wote wa iran.unge search one on one na larry king alijibu kiufasaha kabisa.
 
okey so unachotaka kusema kuwa bible itumike kam source yenye kuthibitisha haki yao katika ardhi ile. wapalstina wakislamu na waislamu wote wanaamini kuwa al aqsa,al quds na maeneo ya nayo zunguka ni sehemu matakatifu ya waislam na wana haki ya kuimiliki.

jifunze ndugu edward kuwa bible sio kitabu cha wote atakama ni driving force.mfano wako wa watu wanaoamini kipengele ulicho kitaja haki lingani na hili suala.umesema wanatakiwa waamini,sasa mbona israel hawaamini haki ya wapalestina pale(usidanganye kuwa wa palestina hawana driving force).au kwakuwa israel anatakiwa aaminiwe basi palestina akae kimyaa.

labda tuanze mwanzo vizuri,nani jews?
historia ya jews anaglia original yao hapa
Jews - Wikipedia, the free encyclopedia.
Nafahamu Bible si kitabu cha wote-naomba unipe origini ya wapalestina,ili tukishafaham origin yao ndo tuzungumzie haki zao
 
Wanapotishia kuzifuta nchi nyingine toka uso wa dunia

Uturuki haitambui Cyprus na imetishia kujitoa kushirikiana na EU endapo Cyprus itapewa majukumu ya EU(Waziri Mkuu wa Uturuki HardTalk-BBC leo 02/03/2012). Je huko sio kutishia uhalali wa kuwepo taifa huru katika uso wa dunia?
 
Wanapotishia kuzifuta nchi nyingine toka uso wa dunia

Bila hata kutishiwa wanatengeneza bomu la nuclear kuangamiza taifa huru la Israel, mara nyingi raisi wa Irani amesema hivyo!!!!

Kumbuka vita huanzishwa kwa kubuni uongo (kupindisha ukweli) na propaganda ya hali ya juu. Hilo ndilo linalofanyika dhidi ya Iran. Lilifanyika dhidi ya Iraq kabla.

Watafuta ukweli wamejaribu kuanika proganda hii hapa.Jisomee mwenyewe. Gonga link

Did Ahmadinejad really say Israel should be ‘wiped off the map’? - The Washington Post
 
insiders wanajua hakuna kitu Iran watafanikiwa kwenye ambition yao ya nuclear,damage ya stuxnet haitakuwa rahisi to recover na stuxnet bado ipo inafanya kazi yake,seems ndio maana Obama hana haraka na kuwachapa mabomu hawa jamaa
 
Back
Top Bottom