Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,233
Wadau muda huu nape na mnyika wako kwenye kipindi cha uzalendo ITV

Nape anaeleza kuhusu mikutano yao ya kanda ya ziwa
 
Nape anasisitiza umuhimu wa natinal dialogue na makubaliano katika suala la katiba
 
Nape anasema ameridhika na kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM
 
Mnyika anaelezea kuhusu mikutano ya CHADEMA...ANAELEZEA SLOGAN YA MWALIMU KUHUSU WATU ,SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.
 
Wako live sasahivi kwenye kipindi cha Uzalendo
 
Nape ameanza kwa upole sidhani kama atamaliza kwa upole
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
 
Mnyika anaelezea umuhimu wa CDM kuleta vuguvugu la mabadiliko kuwaandaa watanzania kwa utawala ujao wa CDM...Anaelezea umuhimu wa katiba katika utawala bora...anaelezea kuwa mchakato wa katiba hauendi sawa. Mnyika anaelezea Tume ya nyalali ilivyopendekeza katiba mpya...akaelezea ndani ya siku 100 katika ilani yao waliahidi kuanzisha mchakato wa katiba.........Matokeo ya kura 2010 yaliwafanya cdm Kushinikiza kuandikwa kwa katiba...walifanya maandamano ku pressure issue ya katiba
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
sidhani
 
Mnyika anaelezea jinsi CCM walivyokuwa wanapinga Rasimu ya katiba mpya...Mnyika anaeleza kuwa wananchi wana mambo mengi ,,....wanakerwa na mambo mengi........anaeleza hali halisi ya maisha ya watanzania na jinsi wananchi wanataka mabadiliko makubwa...CCM imekwama kuwa na matokeo ya haraka na imeleta mchakato wa BRN wa kiusanii
 
Naona Mnyika anapiga porojo za umaskini badala kuongelea katiba. kwi kwi kwi teh teh teh.

Sasa karukia maji.

Hata haeleweki anaongea kiajabu ajabu.
 
Anawasisitiza watu wasome ripoti ya nyalali kuwa imependekeza mabadiliko makubwa ya kimfumo
 
Back
Top Bottom