LEXAPRO3000
Member
- Jul 20, 2013
- 61
- 99
Duuhh mifano yako mkuu ni hatariiwatu wanazihack zinarudi hapo chini yaan ni sawa na kusimamisha mboo alafu MTU akadeal na kupiga kende mziki lazima usinyae mzee. Usicheze na watu.
Wanachofanya n kujihami tuRussia ni mbwembe tu wote Kwa Us wanatulia
Unajua us ni kama jeshi la dunia Waisirael ndio wamejaa kwenye jeshi lao!!
[emoji23] [emoji5] [emoji125] [emoji125] mkuu wacha tuu so unajua kile ulichopewa na mungu kuna ambacho mwenzako amepewa na wewe huna? #tunazidiana#Duuhh mifano yako mkuu ni hatarii
Hapo kweli mkuuUS mara nyingi anaonekana mbabe kwa sababu vita vingi huwa anavamia...na siku zote ukiwahi kuvamia hasimu wako utaonekana umeshinda kwa sababu tofauti na wanajeshi wako na silaha za kivita huna kingine cha kupoteza lakini mpinzani wako atakuwa na vingi vya kupoteza kama raia, miundombinu nk...!! lakini US ana operation nyingi ambazo huwa anafeli anapokutana na wababe wenzake ref: black hawk-Somalia or Benghazi...lakini ikitokea siku taifa hasimu likafanikiwa kuvamia US maafa atakayopata hataweza kusahau option atakayobaki nayo ni kutumia nuclear bombs kwa nchi hiyo ndo maana kila leo analialia nuclear bombs awe nazo mwenyewe tu maana ndo mwokozi wake
Mimi pia natamani sana ila nakosa pa kuanziaKama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Thank youI do admire Russia Army force.
Sayar gan wapoachana na warusi ndugu zang wapo sayari nyingine
Aguse Mara ngaphau kama anamuweza mrusi basi ajaribu kumgusa Assad tuone kitakachotokea
Nakuunga mkono jembe!Bila Putin biashara ya Syria si ingekuwa ishaisha,ila toka kidume katia mguu, marekani kila kukicha meza ya usuluhishi, asante Putin, fanya dunia iwe na heshima na kwa wengine wakienda mwendo huo huo, mpaka watie adabu wehu hawa
Kwanza mrusi kila siku haishi kujiham kwa kutengeneza silaha nakufanyia maoneshohao usa kama wangekuwa sio waoga basi wangeanzisha vita na mrusi kule georgia maan bush alishia tu kupiga kelele na misaada ya kijeshi aliyoitoa ikachukuliw na warusi
ndo uwezo wao uwo,wambie ndug zako nao wafanye ivyo kama watawezaKwanza mrusi kila siku haishi kujiham kwa kutengeneza silaha nakufanyia maonesho
halafu tayari una kitambi cha nyama choma na bia, hata ukipewa nafasi hutawezaMkuu kwa sasa nna miaka 30 na nishaoa...nadhani vigezo sina...ila kiukweli toka moyoni mwangu napenda kuwa mjeiwii sana...
pia Mi mtumishi wa umma....sidhan kama watanikubalia kubadili kada....
Mi ni Mjeda ila natamani sana ningekuwa mwalimu kama wewe! Mi napenda sana kazi inayonipa heshima mtaani na muda wa kupumzika pamoja na kusocialize na watu kama hiyo yako tofauti na hii yangu ya ambayo nipo kazini masaa 24 na sina uhuru kama wewe.Tangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Mbona mjeshi anaheshima kuliko hata mwalimuMi ni Mjeda ila natamani sana ningekuwa mwalimu kama wewe! Mi napenda sana kazi inayonipa heshima mtaani na muda wa kupumzika pamoja na kusocialize na watu kama hiyo yako tofauti na hii yangu ya ambayo nipo kazini masaa 24 na sina uhuru kama wewe.