Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Tichaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaa in jakchain voice snake manke shadow hapo kapigwa anamlilia nwalimu amfundishe dranken style au wewe ni ticha ganiTangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!