Her Grand Maaa....

Her Grand Maaa....

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,242
Reaction score
10,227
Yani kila nikipiga simu kuongea na na wangu wa moyon, Bibi yake Mzaa Mama lazima atataka kunisalimia,akipewa Line tu ataanza na Ma Kiss ya ajabu anbayo hata wifi/shemej yenu anakiri hajafikia kiwango cha Bibi, Juzi ndo katoa kali, Duu....pale kweli tuna Bibi,Jooooob Tur true
 
Dah....! Sasa sijui tukupe pole au hongera?
Tusaidie tukusaidie mwanajamvi mwenzetu!
 
yaan baada ya siku nyingi unaamua kuingia humu unakutana na uzi huu aaaarggghhhhhh
 
Nifafanulie unamaanisha nn,kwa hapo napata kigugumizi hata sijui nichangie nn!!!
 
hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?????????????????????????????????????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom