Hahahaaaaa inabidi tutafute mwingine anayetimiza mwaka leo....Kongosho anataka tuifanye jumamosiKhaaa, haiwezekani mie nshapasi gauni langu la kitenge na zile raba nyekundu nimefua toka jana... Sikubali.
Afu we demu wangu mbona hukunikumbusha wiki mbili zilizopita kuwa nami nlikuwa na pesdei ya miaka minne hapa kwa Mubyazi Maxence Melo?Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei.
Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu.
Ni starehe ya aina yake kama kula pilipili huku inawasha.
Kiukweli, kila mmoja amechangia kuongeza japo sekunde ya kuishi na kutabasamu, ila huyu nanii kanipunguzia wiki nzima aaggrrrr, nikikukamata live on stage utanitambua maana unajijua.
Hivi niwapende au niwachukie? Mnanichekesha sana, kwa hilo nawapenda, ila mnaniudhi sababu mnanimalizia vocha zangu za mawazo yaani kibanda cha Mangi nadaiwaje kwa ajili ya kuwaona tu nyie.
Nina porojo nyingi tu za kuwaambia ila hapa intanet kefu muda umeisha.
Nisisahau kujipendekeza; mods nawapenda nawapenda akyanani, kama fulani siku hizi ni full maLike lol
Karibuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.
Hapa bado tunaandaa sherehe, tuko kwenye stage ya upishi.
Unajua kutengeneza chakula chochote, ila sio maji ya kunywa.
Hapo Blue, am humbled...
Nisaidie kumtamfuta huyo mwingine tafadhali, gauni langu jipya ati.. Jumamosi mbali sana b52.Hahahaaaaa inabidi tutafute mwingine anayetimiza mwaka leo....Kongosho anataka tuifanye jumamosi
@ Asprin huyo ndo kongosho?...lol, mpaka nimeogopa.
Ni binadamu huyo? Daaah mbavu zangu jamani lol.
Inamaana ulikuwa humjui Kongosho asali ya ODM? Haya mwone na Modereta wetu RussianRoullete.@ Asprin huyo ndo kongosho?...lol, mpaka nimeogopa.
Ni binadamu huyo? Daaah mbavu zangu jamani lol.
Hahahahahaaahah.! Hapo anacheka, analia au ametabasamu?...lolInamaana ulikuwa humjui Kongosho asali ya ODM? Haya mwone na Modereta wetu RussianRoullete.
Hehehehe... mi sijui bana, labda umuulize dada yake.Hahahahahaaahah.! Hapo anacheka, analia au ametabasamu?...lol
Hehehehe... mi sijui bana, labda umuulize dada yake......Hahahahahaaahah.! Hapo anacheka, analia au ametabasamu?...lol
Inamaana ulikuwa humjui Kongosho asali ya ODM? Haya mwone na Modereta wetu RussianRoullete.
Ana mambo sio kidogo g...
Uko poa wewe?
Unamwona Cantalisia alivyo mahiri wa kudandia daladala? Mi sijasema kama ye ni n'kazi wa Mbagaya.....Hah... Itabidi tuhoji uraia wa RR...
Maana huyo anaonekana ni "ntu wa Nchumbiji" kabisa...
Hakuna mapya g'...Niko poa SL...
Vipi jamvini,kuna mahusiano yoyote mapya? Vp Nitty naye?