Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Kweli asee, mwaka wake huu. Ogopa aliachwa mbele ya umma wa wana jf... Akikosa ya limpopo akaoge hata ya zambezi yatamfaa..
Nikiona hakieleweki nitavunja ukaka halaf nambeba mwenyewe, ukaka wenyewe wa kizushi tu hauna zaidi ya kunibania maslahi. Nyambaaf zangu
 
hehehe
nananaan naniniii nanana nanniii
Muhogo eeee andazi eee muhogo eee andazi eeee.
Dah! yaani bora ungenifananisha na marehemu kuliko huyo jamaa, anauzi ajabu.

Ndo maana unatembea kiuno kimelegea?
Kumbe ni twin brother na bob junior?

Hapa bongo bana! wewe hujawahi kuona dereva wa truck anapewa u pilot wa ATC? samtaimu bongo kuna mpaka featuring ya shekhe na padre kwenye nyumba za ibada ili kunogesha sadaka.

Ukitaka kuona haya pita uwanja wa baresa Manzese, Live on stage. Mchungaji na shehe wanahubiri pamoja lol
 
Jana alienda Unguja mara moja anarudi leo, nadhani atakua melini saaii, anarudi Netwk itakua inamsumbua. Haya ndiyo nilikua nakumbushia msije kuisahau hiyo Nyama kuitia Chumvini.
Shemu tukiitia sana chumvini itageuka limbwata..manake ladha ya chumvi si wajua ilivyo tamu? Unataka umwache husninyo au?
 
Hahahha hahhhhahahha,
Wifi mbavu zangu mie!!
Hiyo ndio jina la bendi ya kloro lol! hua inapiga wapi tukirudi nikahudhurie nione mauno ya loya hahahahah!

Asante swty wifi,
Kaka yako alipanga hane muni iwe miez 6 ndio maana wifi yangu,
Ile habari ni kuwa tayari kaka yako keshanirekebisha na tunatarajia mtoto baada ya miezi 8 ijayo lol!
 
Tena mwonyeshe, na asipo-pay attension, print, ui-laminate, uninginize karibu na kitanda.
Akae akijua, siku aki-mess up, kuna watu washapropose huku.

Lol, thank you Kongosho. Hapo in bold nimecheka sana, ngoja nimuoneshe Hubby, siku hizi naona anaringa. Maybe he thinks sina alternatives zingine. lol
 

Nekst wik tunapiga ifakara laivu, JF memba ni hafu price
 
Basu ujue una kopi, orijino iko Tandale.
Utaula wa chuya mwaka huu.
Heee heee heee!
X-mke mwenza haya ni maneno tu hata kwenye keki yapo na tunayala, source; Kongosho
Hao unaokutana nao huko ndio fotokopi,
Ninayemlisha cha mchana mda huu ndio orijino papa Rejao mutu ya pesa mingi na mapenzi ya milele kwangu lol!
 
Nekst wik tunapiga ifakara laivu, JF memba ni hafu price
Orait dawa tamu,
Tukirudi tutakuja kuhudhuria,
Asa wewe wakati wa pafomansi hua unavaa msuli au skin jinzi lol!
Maana na mwonekano unahusu sana kuvutia mashabiki hahhaahah!
 
hongera ya kiukweli.
Asante, Karibu shereheni

Nikiona hakieleweki nitavunja ukaka halaf nambeba mwenyewe, ukaka wenyewe wa kizushi tu hauna zaidi ya kunibania maslahi. Nyambaaf zangu
NA wewe hushindwi, waweza kula mayai yako

Tatizo la hazbend wako ana kitambi, tumempelekea kipensi cha rejao hakikupenya hata kwenye mgoko. Laleki
Yaani hicho kitambi tunakifuga kuliko tunavyofuga uchumi wa taifa hili.
 

Ha ha haaaa!!! Happy Birthday bibe Kongosho. Umenifurahisha sana na maneno yako hapo juu. Inaelekea wewe mtaalamu wa mambo vidole vitatu a.k.a mzee wa mipasho maana maneno yako tu machungu kama klorokwini. Ila kiukweli mnakupenda sana bibie Kongosho cuz you always do what you think its the right to do and many many more ambayo nisingependa kuyaandika hapa. I hope you will never change, i hope you will always be this way so that what i feel for you will never go away.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…