majaji wenye kadi za njano na kijani wanalazimisha kesi ili huyu mhuni aendelee ku-buy time hadi 2015..
majambazi ya ccm tutaonana 2015,tutapiga kura za hasira na kuzilinda
Haya majitu yasije yakammwagia tindikali haya, achukue tahadhari nayo sna
Haya majitu ndio yalivyo, yaking'atwa yenyewe anajifanya kujuajuayaan we mburula kweli? si hao hao majaji juzi tu mmewashangilia kwa kuwafutia mashtaka ya ugaidi akina Lwakatare na Kileo
Haya majitu ndio yalivyo, yaking'atwa yenyewe anajifanya kujuajua
Haya majitu yasije yakammwagia tindikali haya, achukue tahadhari nayo sna
hahahaaaa. ni kweli mkuu. au mawakili wao ni mabingwa wa kujitetea tu lakini si wazuri katika kupanga mashtaka
Kemea uhalifu wa kudharau mahakama kwa nguvu zote
sure mkuu. asipomwagiwa tindikali, atawekewa sumu
Kesi kuendelea kusikilizwa ndio kubwagwa kwa CHADEMA?Mahakama Kuu Tz imetupilia mbali ombi la CHADEMA ililotaka mahakama ifute kesi iliyofunguliwa na Meya wa Ilemela Henry Matata kupinga kufukuzwa uanachama Chadema. Mahakama imesema kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi itakapotolewa maamuzi.
WABHEJASANA umeipata hiyo?
majaji wenye kadi za njano na kijani wanalazimisha kesi ili huyu mhuni aendelee ku-buy time hadi 2015..
majambazi ya ccm tutaonana 2015,tutapiga kura za hasira na kuzilinda
CHADEMA hamnavyo. wao wakiona hawana uwezo wa kushinda kesi wanakimbilia maandamano