Kiboko ya Chadema Mwanza, Dr Slaa, alileta ubabe kakutana na za uso.
![]()
Dr Slaa alitoka baru kisa matokeo ya Matata. Alikuja kufunga vifungo vyake Tinde....maana alichokipata hataweza sahau asilani.
Kiboko ya Chadema Mwanza, Dr Slaa, alileta ubabe kakutana na za uso.
![]()
Kesi kuendelea kusikilizwa ndio kubwagwa kwa CHADEMA?
Kiboko ya Chadema Mwanza, Dr Slaa, alileta ubabe kakutana na za uso.
![]()
Kilimo kwanzahahahaaaa. ni kweli mkuu. au mawakili wao ni mabingwa wa kujitetea tu lakini si wazuri katika kupanga mashtaka
Sasa hapa matata meya wa kichina ndio kashinda nini?akili za magamba kama za nepi tu....Chadema wanamuonea Matata kwa sababu za kjinga tu!!!
Sasa hapa matata meya wa kichina ndio kashinda nini?akili za magamba kama za nepi tu....
wakati mwingine muwe na uhakika na mnachopsot humu.
Hiyo ni ruling to ya P.O na sio hukumu kalimili
kesi inaendelea kusikilizwa pande zote na baadae hukumu kamili.
sasa chadema imebwagwa vipi? kwa huo uamuzi mdogo kuwa kesi inaendelea?
Amakuchezea akili wewe, akili ndogo.Chadema wamekubali jamaa ni mtoto wa mujini! Matata amewachezea akili ile mbaya
Ataondoka kwa maandamano ya Chadema au?Mwasho Bwana matata ataondoka tu.
Kama ilivyokua Arusha, subiri. Ulikimbia humu JF.Ataondoka kwa maandamano ya Chadema au?
Hivi unamjua Matata wewe? Matata atakaa kwenye uongozi wake mpaka muda wake utakapokwisha.Kama ilivyokua Arusha, subiri. Ulikimbia humu JF.
Hivi unamjua Matata wewe? Matata atakaa kwenye uongozi wake mpaka muda wake utakapokwisha.
Kashindwa Dr.Slaa.
Kashindwa Mbowe.
Kashindwa Wenje.
Kashindwa Hainess.
Wameshindwa waandamanaji wa Chadema.