Henry Matata aibwaga CHADEMA Mahakamani

Henry Matata aibwaga CHADEMA Mahakamani

hivi hii kesi ina tofauti na ile ya madiwani wa CDM pale Arusha?

mbona hukumu zinakuwa tofauti?

samahani lakini, mimi ni mbumbumbu wa sheria ndo maan nataka kujua.
 
hivi hii kesi ina tofauti na ile ya madiwani wa CDM pale Arusha?

mbona hukumu zinakuwa tofauti?

samahani lakini, mimi ni mbumbumbu wa sheria ndo maan nataka kujua.
Hukumu ya Matata, Mwanza ndiyo sahihi hauwezi kumfukuza diwani aliyechaguliwa na wananchi.
 
hivi hii kesi ina tofauti na ile ya madiwani wa CDM pale Arusha?

mbona hukumu zinakuwa tofauti?

samahani lakini, mimi ni mbumbumbu wa sheria ndo maan nataka kujua.

Nadhani hujaelewa,
Hii ni kesi juu ya kesi, kesi mama bado haijasikilizwa.
1. mataaa alifukuzwa
2. Akaenda mahakamani kupinga kufukuzwa
3.CDM wakakenda mahakamani kupinga kesi ya mataka ya kupinga kufukuzwa.

Kilichotokea ni kesi ya CDM imetupwa na sasa wanaendelea na kesi ya matata ya kupinga kufukuzwa.
 
Ombi hukataliwa na si "kutupiliwa mbali"

Kwa hiyo Chadema waliliokotea umbali gani hilo ombi lao ilihali mahakama bado inalisikiliza na haijalitolea maamuzi? NONSENSE!!!!!
 
Hukumu ya Matata, Mwanza ndiyo sahihi hauwezi kumfukuza diwani aliyechaguliwa na wananchi.

kwa hiyo kaka Ritz unataka sema pale Arusha mahakimu na majaji waliotoa hukumu kimakosa?

ama kweli kuna kitu nyuma ya pazia ktk hizo hukumu ama zinaongozwa na wanasiasa ama wanapotosha ukweli na maadili yao.
 
Naona magamba wana furahia kana kwamba ndo hukumu ya kesi imetoka
 
kesi ya msingi ilikuwa ugaidi, hiyo imeshatupwa
hilo shtaka la kudhuru halikuwa kesi ya msingi kwa mujibu wa hati ya mashtaka waliyoifungua mahakamani.
sidhani kama wana ushahidi unaojitosheleza
zaidi ya maelezo aliyoaanda Mwingulu akijifanya DPP.
mahakama sio chombo cha kuchezea na wasiasa.

Kila Application ina ruling yake, kama ilivyotokea kwa Rwaka na Kileo wamepangua na kufutiwa ugaidi tukashangilia, lakini kesi zao za msingi za kutenda kosa zinaendelea!!!
 
Hukumu ya Matata, Mwanza ndiyo sahihi hauwezi kumfukuza diwani aliyechaguliwa na wananchi.

kwa sheria za nchi ipi? mbona arusha wamefukuzika? mbona bukoba wamefukuzika kimkoa wanasubiri kitaifa?....mapungufu hayo yarekebishwe na ktba mpya.
 
CCM hakuna lenu wananchi washawakataa hata kama baadhi ya majaji wasio na maadili watawabeba.

Tunashukuru Jaji Mkuu kwa kuingilia issue ya Ugaidi for the public interest na kuepusha ulipwaji wa kisasi maana ingefika wakati na CCM wangepigwa pini tu.
 
Chadema wanamuonea Matata kwa sababu za kjinga tu!!!

Ni sababu Gani hizo za KIJINGA?

Ina Maana kuwa MADIWANI wa CCM waliokuwa wanapingana na UONGOZI wa CHAMA HICHO MKOANI KAGERA walikuwa WAJINGA au WASTAARABU?
 
Hukumu ya Matata, Mwanza ndiyo sahihi hauwezi kumfukuza diwani aliyechaguliwa na wananchi.

Yule wa Zanzibar mliyemfukuza jana kwenye NEC na ubunge alichaguliwa na paka sio watu walio mchagua kule Zanzibar? .
 
Back
Top Bottom