Henry Matata aibwaga CHADEMA Mahakamani

Henry Matata aibwaga CHADEMA Mahakamani

Pwaaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
248
Reaction score
67
Mahakama Kuu Tz imetupilia mbali ombi la CHADEMA ililotaka mahakama ifute kesi iliyofunguliwa na Meya wa Ilemela Henry Matata kupinga kufukuzwa uanachama Chadema. Mahakama imesema kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi itakapotolewa maamuzi.

WABHEJASANA umeipata hiyo?
 
majaji wenye kadi za njano na kijani wanalazimisha kesi ili huyu mhuni aendelee ku-buy time hadi 2015..
majambazi ya ccm tutaonana 2015,tutapiga kura za hasira na kuzilinda
 
CCM bwana!
Sasa hapa nani hajui kwamba Matata amepewa Umeya haramu japo maamuzi ya mahakama ni halali?!
Mie nawahurumia sana CCM.....
Yaani pamoja na kuwa chama cha darasa la Saba, BADO kinaangalizia mtihanai wa darasa la pili na kujisifia kuwa namba moja!?????????!
 
CHADEMA hamnavyo. wao wakiona hawana uwezo wa kushinda kesi wanakimbilia maandamano
 
Haya majitu yasije yakammwagia tindikali haya, achukue tahadhari nayo sna
 
majaji wenye kadi za njano na kijani wanalazimisha kesi ili huyu mhuni aendelee ku-buy time hadi 2015..
majambazi ya ccm tutaonana 2015,tutapiga kura za hasira na kuzilinda

yaan we mburula kweli? si hao hao majaji juzi tu mmewashangilia kwa kuwafutia mashtaka ya ugaidi akina Lwakatare na Kileo
 
yaan we mburula kweli? si hao hao majaji juzi tu mmewashangilia kwa kuwafutia mashtaka ya ugaidi akina Lwakatare na Kileo
Haya majitu ndio yalivyo, yaking'atwa yenyewe anajifanya kujuajua
 
Haya majitu ndio yalivyo, yaking'atwa yenyewe anajifanya kujuajua

hahahaaaa. ni kweli mkuu. au mawakili wao ni mabingwa wa kujitetea tu lakini si wazuri katika kupanga mashtaka
 
hahahaaaa. ni kweli mkuu. au mawakili wao ni mabingwa wa kujitetea tu lakini si wazuri katika kupanga mashtaka

Mashtaka yapi?mbona hata hakimu wa mahakama ya mwanzo Msoga asingetoa hukumu ya kipuuzi namna hii!!
 
Mahakama Kuu Tz imetupilia mbali ombi la CHADEMA ililotaka mahakama ifute kesi iliyofunguliwa na Meya wa Ilemela Henry Matata kupinga kufukuzwa uanachama Chadema. Mahakama imesema kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi itakapotolewa maamuzi.

WABHEJASANA umeipata hiyo?
Kesi kuendelea kusikilizwa ndio kubwagwa kwa CHADEMA?
 
majaji wenye kadi za njano na kijani wanalazimisha kesi ili huyu mhuni aendelee ku-buy time hadi 2015..
majambazi ya ccm tutaonana 2015,tutapiga kura za hasira na kuzilinda

haswa hili ndio tunalotakiwa kulifanya.
 
CHADEMA hamnavyo. wao wakiona hawana uwezo wa kushinda kesi wanakimbilia maandamano

Yeah, Maandamano ni BORA kila NCHI Duniani Inapendelea Maandamano kama Moja ya ISHARA za UPINZANI na ni ya USALAMA kuliko njia zingine zozote za UPINZANI... Sababu inaonyesha pia JINSI gani wananchi wana-support hiyo ISSUE

Lakini, Hapa nchini CHAMA CHETU TAWALA kinaona Maandamano ni Njia nzuri ya kuwaamsha wananchi na ukipata wengi ndio huleta Mwamko wa DEMOKRASIA Mfano; JINSI SOVIET UNION ilivyoanguka; Ni Wanachama waliandamana na kiongozi wao BORIS YELTSIN... na UKOMINISTI Ukaanguka...

Mifano Mingine nadhani Umeiona TUNISIA na EGYPT; Peoples Power -- Maandamano yao yameondoa Marais Madikteta wanaofuja mali za Wananchi wao...

Lakini chama tawala inayaogopa Maandamano; Sasa inaleta Propaganda za kuwaambia Wafuasi wake kuwa MAANDAMANO sio Demokrasia na ni Uvunjaji Sheria...

Na Wanachama wa CHAMA TAWALA kwasababu wamezoea kufuata UPEPO kama BENDERA wanakubaliana na Serikali Tawala lakini Serikali Tawala Wanaogopa hayo Maandamano sababu huwa yanaleta DEMOKRASIA ya KWELI...

Sasa ili kiendelee kutawala; Lazima kiwafanya Wanachama wake kama hawajakwenda SHULE na kutojua Maandamano ni nini... Hali wakati wa CHAMA KIMOJA hicho hicho CHAMA kilikuwa kinaashiria wananchi Waandamane kama MEI MOSI ili kudai haki zao kama MISHAHARA na yalikuwa ni Makubwa sababu ni CHAMA KIMOJA hadi Wanafunzi wa SHULE walikuwa wanahusishwa...
 
Back
Top Bottom