PreGE2025 Henry Kilewo: Viongozi wa sasa wa CHADEMA wanatumiwa na CCM kuhujumu harakati za mageuzi nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
980
Reaction score
3,646
Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu harakati za mageuzi nchini.

"Huenda wakawa wanatumika kwa kujua au kutokujua, kwa sababu watu Hao Hao wa upande wa pili wa CCM wanawadanganya kwa Kuwapa backup kwenye hii operation kwa kuwaambia komaeni shikilieni hapo hapo"

Kwa sasa kuna watu ndani ya CHADEMA wanafanya kazi ya CCM kwa sura ya upinzani. Wameuza dhamira ya chama kwa maslahi binafsi. Hii siyo CHADEMA tuliyoianzisha,” alisema Kilewo akiwa hewani kupitia Furaha FM.

mbowe aendelee kunywa makonyagi tu
sahizi m/kiti ni lisu no reforms no election
 
Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu harakati za mageuzi nchini.

"Huenda wakawa wanatumika kwa kujua au kutokujua, kwa sababu watu Hao Hao wa upande wa pili wa CCM wanawadanganya kwa Kuwapa backup kwenye hii operation kwa kuwaambia komaeni shikilieni hapo hapo"

Kwa sasa kuna watu ndani ya CHADEMA wanafanya kazi ya CCM kwa sura ya upinzani. Wameuza dhamira ya chama kwa maslahi binafsi. Hii siyo CHADEMA tuliyoianzisha,” alisema Kilewo akiwa hewani kupitia Furaha FM.

Mbona kila kitu wanasingizia CCM? Kwanini wasikutane viongozi wote waliopo na waliostaafu ili kujadili kwa kina Agenda ya No Reforms No Election na kukubaliana? Maana ninachokiona mimi ni mitazamo tofauti. Hawa wanawaza ubunge na udiwani mwezi wa 10 wakati wenzao wanawaza mabadiliko ya nchi kwa jumla.
 
Back
Top Bottom