olekamaru Member Joined Jun 23, 2017 Posts 79 Reaction score 76 Dec 17, 2017 #1 Hill ni jina LA kocha wa Zanzibar heroes.ila anajulikana zaidi kama hemed MORROCO.anaejua historia yake ya kuitwa hilo jina atuambie
Hill ni jina LA kocha wa Zanzibar heroes.ila anajulikana zaidi kama hemed MORROCO.anaejua historia yake ya kuitwa hilo jina atuambie
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Dec 17, 2017 #2 Ni mzaliwa wa Visiwani
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,273 Dec 17, 2017 #3 alikuwa kocha msaidizi wa Maximo