Hemed PHD na mwanae (his son) melo....!!!

Mbona baby mother amemficha?

Kwa uzuri huo aliokuwa nao Yeye Mwanaume unaweza ukakuta hata huyo Mtoto ( Baby ) hapo pichani alimbebea Mimba na kamzaa mwenyewe na labda Baba yake tukawa tunatiririka na kuserereka nae humu Jamvini 24/7.
 
kumbeee![emoji1][emoji1]
wenye sura ngumu ngumu hatuna faida ya kuzaa eeh [emoji28][emoji23][emoji28][emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23] mama akiwa mzuri mzuri..faida ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…