DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,201
Naona unausemea moyo ila ukweli iyo mbengu nyeupe ni dili sana hapa mjiniMweee mweeeh mweeeh ni asilimia 10 ya wanawake ndo wanawapenda labda majority tunapenda ngozi nyeusi uliza uambiwe......na Sina la kaongeza hapo .
cc Smart911
Watu weusi uwa mnawivu balaaa ...hapo Unamtamani PhD lakin nafs hunaMweee mweeeh mweeeh ni asilimia 10 ya wanawake ndo wanawapenda labda majority tunapenda ngozi nyeusi uliza uambiwe......na Sina la kaongeza hapo .
cc Smart911
MashallahKatoto kazuriii
Hapana ni sonmbona ni BINTI
Melo mwenyewe hajawahi kulalamika kuhusu server kujaa. Who are you by the way?! (Katika sauti ya Idd Amin).Peleka hizi taarifa FACEBOOK usitujazie Servers humu JF[emoji1321]
Vipi ulipata ban? DuhI was naughty mkuu simlaumu mtu
Hahaha!Swalehe atakafaidi sana !!
ni chuo kile kulichompa Remmy ongala u-dr, majimarefu u-proffesor hata prof Jay na issack Ndodi nadhani walipita huko huko[emoji14] [emoji14]Hivi PhD ya Hemed aliipata wapi?
Bwana likubwa kubwa, hapo amenyumbua tu, angeweza hata kusema jibwana yaani bwanyenye furani hivi!!!!Buana ndio nini mkuu?
Nitashutuka!!! sana nikiambiwa mleta Uzi ni mwanaume.
Tatizo nn mkuu una stress ganiPeleka hizi taarifa FACEBOOK usitujazie Servers humu JF[emoji1321]
Duh! Mbona huyo dogo ni mvulanaSwalehe atakafaidi sana !!