Dogo yupo vizuri, mbunifu ile mbaya na mwingi wa weledi. Mtaalam wa misemo ya kiswahili, hukosi cha kujifunza anaporipoti. Watu washazoea TBC bora liende ndo mana.
Dogo yupo vizuri, mbunifu ile mbaya na mwingi wa weledi. Mtaalam wa misemo ya kiswahili, hukosi cha kujifunza anaporipoti. Watu washazoea TBC bora liende ndo mana.
Ni mzuri sana maana mara nyingi amekua analalamikia kitu ambacho hata majority wanakichukia.
kuna jamaa mmoja alinukuliwa akisema...."love me the way I am and not how you want me to be!"
Watoto wa Jwagwani watulivu mithili ya mnyama mwenye shingo ndefu Twiga wa pale mikumi.
Leo wameirarua bila huruma vijana wa mtaa wa msimbazi mbili kwa mtungi.
Vijana wa msimbazi kwa sasa ipo chini ya malkia wa sisimizi kama sio nyuki.