kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Ki ukweli habari za michezo hususani za Tanzania sio mfuatiliaji sana . Ila huyu jamaa ananivutia kuziangalia kila siku kutokana na sauti yake ya kipekee na vijimisemo vyake anaporipoti.
Hemed Kivuyo we ni mkali mkuu mungu kakujalia sauti ya kipekee komaa DW na BBC wanaweza kukuona.
Hemed Kivuyo we ni mkali mkuu mungu kakujalia sauti ya kipekee komaa DW na BBC wanaweza kukuona.