Msaada jinsi ya kutoa pattern tecno P5. sikuwa nime create accaunt.
Najaribu lakini tatizo ina display kichina.fanya master reset, zima simu, halafu bonyeza VOL + shikilia hapo na uiwashe, ikiwaka tumia VOL- au VOL+ kuchagua factory reset then touch HoMe
Najaribu lakini tatizo ina display kichina.