Ndekirhepva
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 371
- 44
Waungwana nimefanikiwa kudownload hii window ila imekuja na key ambayo haifanyi kazi, sasa mwenye namna ya kunikwamua hapo naombeni, au ile window 8 loader kwa specification za namna hyo, msaada please