config name Airtel dial number *99# APN internetWakuu, katika ku unlock modem ya vodafone kuna window moja ya connection. Nimeweka Join Air. Katika hiyo window kuna mahali panatakiwa kujazwa Config name na dial number. Pia inatakiwa APN address. Je ni ipi? Nadhani wataalamu mmeshanielewa!
yap i did but hakuna mafanikio
ukifanikiwa tuwekee wazi na jinsi ulivyofanikiwa, hii ndio maana ya forum , ni ku share elimu mkuuu.........
waone BongoUnlock|Unlock Huawei,Vodafone,ZTE, HTC etc...Mkuu nimeshaku-PM